Mwenyekiti wa Chama cha Afya ya
Jamii Tanzania (TPHA), Dkt. Mashombo Mkamba akielezea jambo kuhusu
umuhimu wa kujua magonjwa katika ngazi ya familia alipokuwa akiongea na
waandishi wa habari leo Jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mshauri wa Afya
ya Jamii kutoka Chama cha Afya ya Jamii Tanzania (TPHA), Dkt. Ali Mzige

Mshauri wa Afya ya Jamii kutoka
Chama cha Afya ya Jamii Tanzania (TPHA), Dkt. Ali Mzige akifafanua jambo
kuhusu umuhimu wa kujua magonjwa katika ngazi ya familia alipokuwa
akiongea na waandishi wa habari leo Jijini Dar es Salaam. Kulia ni
Mwenyekiti wa Chama cha Afya ya Jamii Tanzania (TPHA).

Mshauri wa Afya ya Jamii kutoka
Chama cha Afya ya Jamii Tanzania (TPHA), Dkt. Ali Mzige akionyesha
Jarida linaloandaliwa na Shirika la Afya Duniani wakati wa mkutano wao
na waandishi wa habari kuhusu umuhimu wa kujua magonjwa katika ngazi ya
familia alipokuwa akiongea na waandishi wa habari leo Jijini Dar es
Salaam. Kulia ni Mwenyekiti wa Chama cha Afya ya Jamii Tanzania (TPHA),
Dkt. Mashombo Mkamba.
Picha na: Frank Shija – MAELEZO


No comments:
Post a Comment