
Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya
Elimu Tanzania (TEA) Bibi. Graceana Shirima akiongea wakati wa hafla ya
makabidhiano ya mkataba wa ukarabati wa shule ya Sekondari Pugu ya
Jijini Dar es Salaam unaofanywa na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) kwa
ufadhili wa TEA.

Mkurugenzi wa Halmashauri ya
Manispaa ya Ilala Bw. Msongela Palela akizungumzia faida zinazotokana na
mradi wa ukarabati wa shule ya Sekondari Pugu ya Jijini Dar es Salaam
unaofanywa na shirika la Nyumba la Taifa (NHC) kwa ufadhili wa Mamlaka
ya Elimu.

Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya
Elimu Tanzania (TEA) Bibi. Graceana Shirima akimkabidhi mkataba wa
ukarabati wa shule ya Sekondari Pugu Jijini Dar es Salaam Kaimu
Mkurugenzi Uendelezaji Miliki NHC Bw. Hassan Mohamed, ukarabati huo
unafanywa na Shirika la Nyumba la Taifa.

Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya
Elimu Tanzania (TEA) Bibi. Graceana Shirima akiwaongoza wadau
walioshiriki hafla ya makabidhiano ya mkataba wa ukarabati wa shule ya
Sekondari Pugu ya Jijini Dar es Salaam unaofanywa na shirika la Nyumba
la Taifa (NHC) kukagua baadhi ya majengo na miundo mbinu ya shule hiyo
itakayofanyiwa ukarabati.


No comments:
Post a Comment