KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

June 21, 2017

MAKAMU WA RAIS AKABIDHI VIFAA VYA KUSAIDIA WAKINA MAMA WAJAWAZITO WAKATI WA KUJIFUNGUA KATIKA HOSPITALI MBILI MBAGALA

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia wakati wa hafla maalum ya kukabidhi vifaa vya kusaidia wakina mama wajawazito wakati na baada ya kujifungua vilivyotolewa na  Shirika la Red Crescent la Kuwait ambapo mabeseni 100 yenye vifaa hivyo kati ya 1000 yalikabidhiwa kwa hospitali ya Mbagala Rangi Tatu, Dar Es Salaam.
 Balozi wa Kuwait nchini Mhe. Jasem Al-Najem akihutubia mbele ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano Mhe. Samia Suluhu Hassan wakati wa uzinduzi wa zoezi la kukabidhi vifaa vya kusaidia wakina mama wajawazito wakati kujifungua vilivyotolewa na Shirika la Red Crescent la Kuwait ambapo zaidi ya mabeseni 1000 yatatolewa kwa hospitali za Tanzania Bara na Zanzibar ,hospitali ya Mbagala Rangi 3 ilikabidhiwa mabeseni hayo yenye vifaa 100 pamoja na kituo cha Afya cha Mbagala Round Table nacho kilipokea mabeseni 100.
  Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda wakati wa uzinduzi wa zoezi la kukabidhi vifaa vya kusaidia wakina mama wajawazito wakati kujifungua vilivyotolewa na Shirika la Red Crescent la Kuwait ambapo zaidi ya mabeseni 1000 yatatolewa kwa hospitali za Tanzania Bara na Zanzibar ,hospitali ya Mbagala Rangi 3 ilikabidhiwa mabeseni hayo yenye vifaa 100 pamoja na kituo cha Afya cha Mbagala Round Table nacho kilipokea mabeseni 100,Mgeni rasmi alikuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan

No comments:

Post a Comment