KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

June 16, 2017

URUSI YADAI KUMUUA MKUU WA IS

Kiongozi wa wapiganaji wa Islamic State Abu Bakr al-Baghdad akihutubia Mosul 2014
Wizara ya ulinzi ya Urusi inachunguza iwapo shambulio lake la angani nchini Syria lilimuua kiongozi wa kundi la Islamic State.
Wizara hiyo imesema kuwa shambulio hilo huenda lilimuua Abu Bakr al-Baghdad na hadi wapiganaji wengine 330 mnamo tarehe 28 mwezi Mei.
Inasema kuwa uvamizi huo ulilenga mkutano wa baraza kuu la Islamic State katika mji wa Raqqa ambao ni makao makuu ya Islamic State kaskazini mwa Syria.

No comments:

Post a Comment