Mkuu wa masoko na mawasiliano wa Vodacom
Tanzania PLC,Nandi Mwiyombella(katikati)akifafanua jambo kwa waandishi wa habari
(hawapopichani)wakati wa uzinduzi wa huduma mpya ya RED inayojumuishwa vifurushi na huduma zakipekee
nyingi,Vifurushi hivyo vinadakika nyingi, MB zaintaneti nyingi, SMS nyingi na dakika
za kupiga simu nje ya nchi pindi mteja akijiunga,Uzinduzi huo umefanyika leo jijini
Dar esSalaam,Wanaoshuhudia kushoto ni Mkuu
wa kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano wakampuni hiyo, Jacqueline Materuna Meneja
wa maendeleo ya Uzalishaji wa masoko,Frank Madembwe.
Wateja wa Vodacom Tanzania kuanzia sasa watakuwa na furaha zaidi kwa keletewa huduma mpya ya
RED. Huduma hii ni mpango unaojumuishwa vifurushi na kulipa
kadri utumiavyo. Vifurushi hivi vina dakika nyingi, MB za intaneti
nyingi, SMS nyingi na pia dakika za kupiga simu nje ya nchi. Wakati
mteja akinunua kifurushi cha RED, anaweza kuchagua
huduma ya kifurushi cha kujirudia (kujinunua tena) kila kinapoisha muda
wake au kununua mara moja tu.
Mteja yeyote yole wa Vodacom akinunua bando ya
RED, atapata nafasi na kipaumbele ya kuhudumiwa bila kukaa kwenye
foleni wakati akitembelea duka lolote la kampuni hiyo, ambayo yatakuwa
na madawati maalum ya
RED yatakayokuwa yametengwa kwa ajili yao.
Akiongea na waandishi wa habari jana wakati wa kuitambulisha huduma hiyo, Mkuu wa kitengo cha Masoko na Masiliano wa kampuni
hiyo Nandi Mwiyombella alisema tumeamua kuileta huduma hii yakipekee sokoni kwa ajili ya wateja wetu
huu ni mpango unaojumuishwa vifurushi na kulipa kadri utumiavyo.
Vifurushi hivi vina dakika nyingi, MB za intaneti nyingi, SMS nyingi na
pia dakika za kupiga simu nje ya nchi. Wakati mteja ananunua anaweza
kifurushi cha RED, anaweza kuchagua huduma ya kifurushi
cha kujirudia (kujinunua tena) kila kinapoisha muda wake au kununua
mara moja tu.
“Bando hii ya
RED itapatikana kwa kununua kupitia USSD na itadumu kwa muda wa
siku 30 kuanzia siku ambayo mteja ameinunua vile vile itakuwa na
kipengele cha kujirudia ili kuongeza ufanisi na tunaelewa umuhumi wa
kupata taarifa mbali mbali kwa wateja wetu. Wateja wa
RED watapata taarifa bure baada ya kumaliza kuongea na simu kuashiria
mwisho wa mazungumzo, taarifa ya simu ambazo haujapokea pamoja na
matumizi ya data”alisema Mwiyombella.
Ili mteja
ajiunge na kunufaika na kifurushi hichi anatakiwa kupiga
*149*01# na Chagua RED na ataona vifurushi vyote vya RED
Ukishajiunga na
RED utaweza kufurahia yafuatayo:-
Pamoja na mteja kupata dakika za maongezi za mitandao yote, vifurushi vya intaneti, SMS na
dakika za kimataifa, pia atapata;
§
Huduma ya SOKONI App BURE
§
Taarifa fupi ya M-Pesa BURE pale atakapoihitaji
§
Huduma ya kipekee pindi atakapowasiliana na huduma kwa wateja.
§
Huduma ya kipekee, pindi atembeleapo maduka yetu ya Vodacom
Huduma ya kipekee, kitengo cha msaada Zaidi cha Vodacom
|
No comments:
Post a Comment