Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akikagua wa Ujenzi wa banio na mfereji wa maji wakati alipotembelea
mradi wa kilimo cha umwagiliaji wa Makamba wilayani Momba Julai 21,
2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Baadhi ya wananchi wa mji mdogo
wa Tunduma mkoani Songwe wakimshangilia Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
wakati alipowahutubia kwenye Uwanja wa Shule ya Misngi ya Mwaka Julai
21, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akisikiliza ujumbe kutoka kwa Chifu Jubeki Chimpansya wa Momba baada ya
kusimikwa na wazee wa mila kuwa Chifu Simpanji katika mkutano wa
hadhara aliouhutubia kwenye Uwanja wa Shule ya Misngi ya Mwaka katika
mji mdogo wa Tunduma mkoani Songwe Julai 21, 2017. (Picha na ofisi ya
Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akiwapungia wananchi wakati alipokagua eneo la ujenzi wa jengo la pamoja
la forodha kwenye mpaka wa Tanzania na Zambia katika mji mdogo wa
Tunduma. Alikuwa katika ziara ya mkoa wa Songwe Julai 21, 2017. (Picha
na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na
mkewe Mary (kushoto kwake) wakitazama gari lililotengenezwa na Adam
Zachariah Kinyekie wakati alipowasili kwenye uwanja wa
Shule ya Misngi ya Mwaka katika mji Mdogo wa Tunduma kuhutubia mkutano
wa hadhara Julai 21, 2017. Kushoto ni Mwenyekiti wa CCM wa mkoa wa Mbeya
na Songwe, Erasto Zambi. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akihutubia mkutano wa hadhara kwenye Uwanja wa Shule ya Misingi ya Mwaka
katika mji mdogo wa Tunduma. Alikuwa katika ziara ya mkoa wa Songwe
Julai 21, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akihutubia mkutano wa hadhara kwenye Uwanja wa Shule ya Misingi ya Mwaka
katika mji mdogo wa Tunduma. Alikuwa katika ziara ya mkoa wa Songwe
Julai 21, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akisalimiana Dickson Mwandambila ambaye ni mlemavu baada ya kuhutubia
mkutano wa hadhara kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi ya Mwaka katika mji
mdogo wa Tunduma. Alikuwa katika ziara ya mkoa wa Songwe Julai 21,
2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment