KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

July 22, 2017

WAMAREKANI KUTOZURU KOREA

Marekani inapanga kupiga marufuku raia wake wasisafiri kwenda Korea Kaskazini, kwa mujibu wa mashirika mawili ya kupanga safari ambayo yanafanya kazi humo.
Mashirika hayo ya Koryo Tours na Young Pioneer Tours yamesema marufuku hiyo itatangazwa tarehe 27 Julai na itaanza kutekelezwa siku 30 baadaye.
Seriakli ya Marekani bado haijathibitisha taarifa hizo.
Young Pioneer Tours ndio waliofanikisha mwanafunzi Mmarekani Otto Warmbier kuzuru Korea Kaskazini.

No comments:

Post a Comment