KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

October 18, 2017

NIC 'WAJICHIMBIA' ARUSHA KUPANGA MIKAKATI KABAMBE YA KIBIASHARA

Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Bima la Taifa (NIC) Ndugu Sam Kamanga akizungumza jambo wakati wa Mkutano wa Mameneja wa Shirika la Bima la Taifa unaoendelea mjini Arusha

Baadhi ya wajumbe wa Bodi ya NIC wakiwa katika mkutano huo wa mameneja wa NIC unaoendelea jijini Arusha

Mwenyekiti wa Bodi ya NIC Ndugu Laston Msongole akizungumza jambo wakati wa mkutano wa mameneja wa  Shirika la Bima la Taifa unaoendelea mjini Arusha , kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Bima la Taifa (NIC) Ndugu Sam Kamanga


Picha ya pamoja ya wajumbe wa Bodi na Mameneja wa Shirika la Bima la Taifa (NIC)unaoendela Jijini Arusha


No comments:

Post a Comment