KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

October 20, 2017

WATOTO WANAOLELEWA KATIKA KICHUO CHA CHILD IN THE SUN WAPOKEA MSAADA WA KOPYUTA 10 TOKA VODACOM TANZANIA FOUNDATION

Baadhi ya wafanyakazi wa Vodacom Tanzania na watoto wanaolelewa katika kituo cha Child in The Sun cha Mbezi Makabe jijini Dar es Salaam,Wakiwa wamebeba kompyuta 10 zilizotolewa msaada na Vodacom Tanzania Foundation kwa ajili ya mafunzo kwa watoto hao kituoni hapo.

Baadhi ya watoto wanaolelewa katika kituo cha Child in The Sun cha Mbezi Makabe jijini Dar es Salaam,Wakiwa wameshikilia kompyuta 10 walizokabidhiwa msaada na Vodacom Tanzania Foundation kwa ajili ya mafunzo yao kituoni hapo

Baadhi ya wafanyakazi wa Vodacom Tanzania PLC wakicheza na watoto wanaolelewa katika kituo cha Child in The Sun cha Mbezi Makabe jijini Dar es Salaam,Walipotembelea kituo hicho kwa ajili ya kukabidhi msaada wa kompyuta 10 zilizotolewa na Vodacom Tanzania Foundation  kwa ajili ya mafunzo kwa watoto hao kituoni hapo.

No comments:

Post a Comment