Viongozi sita wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wameshafikishwa Mahakama ya Kisutu tangu saa mbili asubuhi.
Wanachama na viongozi wa Chadema wamekusanyika ndani na nje ya viwanja vya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kusubiri hatima ya dhamana ya viongozi hao
Viongozi hao, Mwenyekiti wa Taifa Freeman Mbowe na wenzake watano wanatarajiwa kuachiwa kwa dhamana leo iwapo watatimiza masharti ya dhamana.





No comments:
Post a Comment