
Nafasi ya nne imeshikwa na Botswana, Ivory Coast nafasi ya tano, Afrika Kusini nafasi ya sita, Ethiopia nafasi ya saba, Zambia nafasi ya nane, Kenya nafasi ya tisa na Senegal ikishika nafasi ya 10.
Ripoti hiyo imeitaja Tanzania kuwa nchi ya 13 kwa kuwa na kuvutia uwekezaji.
Nchi 10 ambazo zimetajwa kuwa hazivutii uwekezaji ni;
1. Afrika ya Kati 2. Liberia 3. Somalia 4. Eritrea 5. Equatorial Guinea 6. Gambia 7. Sierra Leone 8. Guinea 9. São Tomé and Príncipe 10. Zimbabwe


No comments:
Post a Comment