KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

April 2, 2018

VIKAO VYA BUNGE KUANZA KESHO



Mkutano wa 11 wa Bunge unatarajiwa kuanza kesho Aprili 3 na kumalizika Juni 29, 2018 Mjini Dodoma.
Kutakuwa na kiapo cha uaminifu kwa wabunge wapya wawili, Dkt. Godwin Mollel (Siha) na Maulid Mtulia (Kinondoni).

No comments:

Post a Comment