|
Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Iflix, Paul
Coogan (Kushoto) Vodacom Tanzania Rosalynn
Mworia (kulia) wakimsikiliza kwa makini Mkurugenziwa Kitengo cha
Biasharawa Vodacom Tanzania Plc, HishamHendi (katikati) wakati alipokuwaakiongea
kwa waandishi wahabari jijini Dar es Salaam, wakati wa uzinduzi wa ubia wa kibiashara
baina ya iflixna Vodacom. Wateja wa tapakua application ya Playstore au istore ilikupa
ta iflix yenye
burudani za Sinema navipindi vya TV kwa
Kupiga *149*01# Kwa sasa kuna vifurushi vya aina tatu, kifurushi cha siku kwa shilingi
1,000, cha wiki kwa shilingi 6,500 cha mwezi kwa shilingi 18,000.
|
No comments:
Post a Comment