Mhe.Zitto Kabwe |
Kuhusu maazimmio ya Bunge,Rais Jakaya Kikwete amesema kwamba ameyapokea na kwamba atashirikiana na wabunge katika kupambana na maovu.
Amewapongeza sana wabunge na kwamba atashirikiana "Wamefanya kazi nzuri na chini ya uongozi wao mambo yameisha salama ,"
Amewapongeza wajumbe wa Kamati ya Zitto na kamati ya mapendezo ambayo alipata maazimio manane, na kwamba alifurahiswa na ushirikiano wa wabunge wa CCM na wapinzani,"
"Naomba nieleze mshangao wangu kidogo kwa wapinzani kwa maana ya kusema kwamba CCM imejaa rushwa, hapana hatuhusiki na rushwa kwani huko gerezani wamejaa wa upinzani tu," hapana kuna watu wote.
Alisema kwamba wabunge wa CCM ni wengi kuliko wa upinzani kwa maana CCM wako asilimia 74 na upinzani ni asilimia 24 kwa maana hiyo wangeamua kuwa kitu kisiende kisingeenda,"
Alisema wapinzani wanatafuta sifa laini hivi, na kwamba hakuna mwana CCM anayeipenda rushwa, kuhusu kutaifisha mtambo wa IPTL alisema kwamba hiyo siyo sera ya nchi kwa sasa utaifishaji siyo ya serikali.
Alisema Mahakama imeiagiza IPTL pia itumie gesi badala ya dizeli ili kupunguza bei ya umeme.
No comments:
Post a Comment