![]() |
Mgeni rasmi katika ufungaji wa Mafunzo ya awali ya skari Polisi,NaibuWaziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Pereira Ame Silima akizungumza wakati wa sherehe za ufungaji wa mafunzo hayo zilizofanyika Chuo Cha Taaluma ya Polisi Moshi |
![]() |
Baadhi ya wahitimu wa mafunzo ya awali ya Askari Polisi na Uhamiaji. |
![]() |
Naibu Inspekta Jenerali wa Jeshi la Polisi ,Abdulrahman Kaniki akitoa hotuba yake katika siku hiyo. |
![]() |
Mkuu wa Chuo cha Polisi ,Commandant ,Matanga Mbushi akitoa hotuba yake katika sherehe hizo. |
No comments:
Post a Comment