Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akibonyeza kitufe kuzindua rasmi kivuko cha MV.Mafanikio huko eneo la Msangamkuu mjini Mtwara leo. |
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete pamoja na Waziri wa Ujenzi Dkt.John Pombe Magufuli na viongozi waandamizi serikalini wakikata utepe kuzindua rasmi kivuko MV Mafanikio huko Msangamkuu mkoani Mtwara leo. |
No comments:
Post a Comment