Wananchi
wakimsindikiza Waziri mkuu msaafu Edwald Lowassa (CHADEMA) wakati
akielekea kuchukua fomu ya kugombea nafasi ya urais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania,kupitia chama cha Demokrasioa na Maendeleo
(CHADEMA) wakitokea ofisi za chama hicho kupitia ofisi za CUF na
kuhitimisha katika ofisi za NEC jijini Dar es Salaam leo.
Michuzi
No comments:
Post a Comment