KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

April 27, 2016

TUGHE WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI YAKUTANA KUCHAGUA MFANYAKAZI BORA WA TAWI LA WIZARA HIYO.

tu1
Mwenyekiti wa Chama cha Wafanyakazi wa Serikali Kuu na Afya (TUGHE), tawi la Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, William Mkombozi (kulia meza kuu) akizungumza na wajumbe wa chama hicho kabla ya kufanya uchaguzi wa Mfanyakazi Bora wa tawi hilo katika Ukumbi wa Mikutano wa Wizara hiyo, jijini Dar es Salaam leo. Kushoto meza kuu ni Katibu wa Chama hicho, Obed Mbaga. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

No comments:

Post a Comment