Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na madaktari wa Kichina ambao wako
wilayani Ruangwa kwa ajili ya kupima na kuwatibu wananchi bure.
Mazungumzo yao yalifanyika kwenye Ikulu ndogo ya wilaya ya Ruangwa
Julai 15, 2016 . Kushoto kwake ni Naibu Balozi wa China nchini, Gou
Haodong na kulia kwa Waziri Mkuu ni Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Godfrey
Zambi. Wapili kushoto kwa Waziri Mkuu, ni Katibu Mkuu wa Chama cha
Urafiki kati ya China na Tanzania(Tanzania Chinese Associanion), Joseph
Kahama.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu )
|
July 15, 2016
WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AZUNGUMZA NA MADAKTARI WA KICHINA LUANGWA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment