Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani
Hamad Masauni (Mb) akisalimiana na mmoja wa walemavu aliyejitokeza
kushiriki katika maadhimisho ya Wiki ya Nenda kwa Usalama Barabarani
kitaifa, Mkoa wa Geita.
Mmoja wa watumishi kutoka wizara
ya ujenzi,uchukuzi na Mawasiliano akitoa elimu kwa wanafuzi wa shule ya
msingi kalangalala walipotembelea banda la wizara hiyo wakati wa
maadhimisho ya Wiki ya Nenda kwa Usalama kitaifa mkoani Geita.
Kikosi cha Brass Band kutoka
Serengeti Mkoani mara kikitumbuiza wakati wa maadhimisho ya wiki ya
Nenda kwa Usalama Barabarani ambayo kitaifa yamefanyika mkoa wa Geita.
Waendesha pikipiki (boda boda) mkoa wa Geita wakiwa katika maandamano ya maadhimisho ya wiki ya nenda kwa usalama kitaifa.
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani
Hamad Masauni (Mb), (Wa kwanza kulia) akipokea maandamano katika
maadhimisho ya Wiki ya Nenda kwa Usalama Barabarani yaliyofanyika mkoa
wa Geita. Wa pili kushoto ni Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na
Mawasiliano Mhandisi Edwin Ngonyani.
No comments:
Post a Comment