Na Mwandishi Wetu

akizungumzia
mpambano uho kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini ambaye ni
mratibu wa mpambano uho Rajabu Mhamila 'Super D' amesema kuwa mabondia
wote watapia uzito pamoja na Faya Zao siku ya jumamosi
aliwataja
baadhi ya mabondia watakaozipiga na kesho watapima uzito ni Said Chino
atakaezitwanga na haidar Mchanjo uzito wa kg 57 raundi sita wakati
Abdallah Ruwanje atavaana na Shedrack Ignas mpambano wa raundi sita la
uzito wa kg 63wakati bondia mkongwe kabisa katika mchezo wa masumbwi
nchini Mustafa Doto atazipiga na bondia chipkizi Manyi Issa katika uzito
wa kg 61 raundi sita
mipambano
mingine itawakutanisha mabondia Mohamed Muhunzi atakaepambana na Kassim
Ahmad na Hashimu Chisora atazipiga na Rojas Masam uzito wa kg 61 na
Julias Jackson atapambana na Emilio Norfat mpambano wa raund 4 uzito wa
kg 61 na Ellsame Mbwambo atazipiga na Emanuel Kisawani mpambano wa
raundi 4 uzito wa kg 61
siku
hiyo pia kutakuwa na elimu ya ujasiliamali kwa vijana wa mchezo wa
masumbwi pamoja na kupatiwa mafunzo mbalimbali ya kujikwamuwa na uchumi
Mgeni rasmi katika mpambano uho atakuwa
Humphrey Polepole Mkuu wa Wilaya ya Ubungo
Katika
Mchezo huo kutakua na Uzwaji wa DVD za mafunzo ya mchezo wa ngumi
pamoja na kutambua sheria zake mbalimbali zitakazokua zikisambazwa na
kocha 'Super D' kwa ajili ya kuwapa mabondia mbalimbali mbinu za mchezo
na mashabiki kujua sheria za masumbwi.
Ndani
yake wakiwemo mabondia Floyd Mywether, Manny Paquaio, Amiri Khani,
Mohamedi Ali, Mike Tayson David Haye na wengine ambapo kutakuwa na
matukio ya mazoezi yao katika mataifa yao ikumbukwe kuwa ni mabingwa wa
dunia. na kutakuwa na mapambano makubwa matano ya utangulizi
No comments:
Post a Comment