UPDATE:MAANDALIZI YA MKUTANO WA MWENYEKITI WA CHADEMA KUHUSU UKUTA YANAENDELEA SASA
Updates...Ni ndani ya makao makuu ya chadema dakika chache zijazo
mwenyekiti wa chama Taifa Freeman Mbowe atajitokeza hapa kueleza hatma
ya ukuta.ataaongozana na viongozi wakuu wa chama hicho
No comments:
Post a Comment