Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa
na Michezo Mhe.Nape Moses Nnauye (kushoto) akimsiliziliza Mkurugenzi
Mkuu wa Makao Makuu ya Kampuni ya Startimes kutoka nchini China
Bw.Pang XinXing (kulia) alipofika ofisini kwake kumweleza mipango ya
Kampuni hiyo katika kuendeleza Shirika la Utangazaji la Taifa Septemba
30,2016 jijini Dares Salaam.
Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa
na Michezo Mhe.Nape Moses Nnauye (kushoto) akizungumza na Mkurugenzi
Mkuu wa Makao Makuu ya Kampuni ya Startimes kutoka nchini China
Bw.Pang XinXing (kulia) kuhusu kurejea mkataba wa TBC1 na kampuni hiyo
kwa lengo la kufanya maboresho ya mkataba leo Septemba 30,2016 ofisini
kwake jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa
na Michezo Mhe.Nape Moses Nnauye (kushoto) akipokea zawadi kutoka kwa
Mkurugenzi Mkuu wa Makao Makuu ya Kampuni ya Startimes kutoka China
Bw.Pang XinXing (kulia) alipomtembelea ofisini kwake jijini Dar es
Salaam Septemba 30,2016,kuzungumzia mikakati ya kuendeleza Shirika la
Utangazaji la Taifa (TBC 1).
Anitha Jonas- WHUSM- Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment