KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

September 27, 2016

WADAU WA SEKTA YA MIUNDOMBINU YA BARABARA NA RELI WATAKIWA KUCHANGAMKIA FURSA

miu1
Mwenyekiti wa  wadau wa barabara Tanzania Eng. Abdul Awadhi (Kushoto) akizungumza na Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi) Eng .Joseph Nyamhanga (Kulia) wakati wa  mkutano wa  Saba wa wadau wa miundombinu ya reli na barabara,jijini Dar es salaam. Picha na Benjamin Sawe-Maelezo
miu2
Mwenyekiti wa  wadau wa barabara Tanzania Eng. Abdul Awadhi akiongea na wadau wa miundombinu ya  barabara na reli wakati wa  mkutano wa  Saba wa wadau hao, uliofanyika jijini Dar es salaam. Picha na Benjamin Sawe-Maelezo
miu3
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa akiongea na wadau wa miundombinu ya  barabara na reli wakati wa  mkutano wa  Saba wa wadau hao, uliofanyika jijini Dar es salaam. Picha na Benjamin Sawe-Maelezo

No comments:

Post a Comment