Mkuu wa wilaya ya Arusha,Mh.Gabriel Daqarro akizindua kitabu cha utafiti wa Sauti ya Kijana nchini Tanzania uliofanywa na taasisi ya British Council kupitia ufadhili wa Shirika la misaada la serikali ya Uingereza la DFID kuwezesha sauti za vijana kuwafikia watunga sera na watoa maamuzi nchini,kulia ni Meneja Mradi wa British Council Tanzania,Elizabeth Nkanda. |
![]() |
Mtaalamu wa sera za ufugaji, Carolyn Kandusi akiongoza shughuli nzima iliyofanyika jijini Arusha. |
No comments:
Post a Comment