Mkurugenzi
Mkuu wa Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Tanzania, Abbas Tarimab
(kushoto)
akikamkabidhi mfano wa hundi ya fedha ya 34,179,309/= kwa mshindi wa
M-bet, Joseph Mwakagali, (kulia) kwenye hafla ya kukabidhi zawadi
jijini Dar es Salaam leo Oktoba 5,2016. Makabidhiano hayo yalihudhuriwa
na Mkurugenzi wa M-bet, Dhiresh Kaba. |
No comments:
Post a Comment