BREAKING: RAIS MAGUFULI KUTENGUA UTEUZI WA MWENYEKITI WA BODI YA WAKURUGENZI YA SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA (NHC)
Rais
Magufuli ametengua uteuzi wa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa
Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Blandina Nyoni na kuivunja bodi hiyo.
Uteuzi wa Mwenyekiti na bodi nyingine utafanyika baadaye.
No comments:
Post a Comment