Mwanaharakati
wa siasa mtandaoni Mange Kimambi ameibuka na kumwagia matusi mazito
msanii wa Bongo movie Wema Sepetu baada ya kuzua maneno maneno jana
kwenye mtandao wa Instagram.
Siku
ya jana Wema alishika headlines za mitandao ya kijamii baada ya kuposti
posti kadhaa zilizoamsha tetesi kuwa amerudiana na Diamond na alizidi
kuzua maneno baada ya kuonekana akiwa na Esma huku wakiitana wifi.
Sio
siri kuwa Wema na Mange wapo kwenye bifu kali tangu Wema afanye uamuzi
wa kurudi CCM mapema mwaka jana akitokea Chadema na hata kuanzisha
urafiki na mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam jambo ambalo halikumfurahisha
Mange.
Siku
ya jana Mange amemtolea povu zito Wema na kumtuhumu anatumika kuleta
drama zake na Diamond ilimradi wazime amsha amsha za maandamano na kudai
amegeuzwa Jinga na familia ya Diamond.
Kupitia ukurasa wake Instagram, hili ndio povu la Mange kwa Wema:
"...........Wema
mj***ga sana, mtu gani kutwa anatafuta attention za watu kwa mambo ya
kijinga? Forever my wii my foot mbona Bi. Tukinao alivyokuwa nao mbona
hawakukuita forever my wii?
"Yamewashinda
kwa mganda ndio wamelikumbuka jinga lao. Janamke j*nga halikui from CEO
wa Endless Fame to mfanyakazi wa Wasafi Tv?
"Seriously wenzake wanasonga mbele lenyewe linarudi nyuma. Halafu hata halijistukii linaongea proudly kabisa “Sasa Diamond anaenda kuwa bossi wangu” from kuwa CEO mpaka kuwa mfanyakazi wa Diamond kama wakina Kifesi?”.
No comments:
Post a Comment