
Pichani ni sehemu ya eneo ambalo Rais Dkt John Pome Magufuli leo anatarajia kuweka jiwe la Msingi sehemu ya pili ya Ujenzi wa Reli ya kisasa (Standard Gauge ) kuanzia Morogoro hadi Makutopora mkoani Dodoma.Sherehe hizo zinafanyika eneo le Ihumwa mkoani humo,ambapo tukio hilo litarushwa LIVe hewani kupitia Redio na Televisheni.
No comments:
Post a Comment