Katibu
wa Rais Ndg. Ngusa Samike akikabidhi fedha kiasi cha shilingi Milioni
40 kwa Mkuu wa kikosi cha 27KJ Luteni Kanali Js Mshashi kilichopo Makoko
mkoani Mara.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli aliahidi
kutoa fedha hizo Septemba 6,2018 alipokuwa ziara Mkoani humo kw aajili
ya kuongeza Vizimba 10 vya kufugia Samaki.
Makabidhiano hayo yalifanyika Jijini Dodoma mbele ya Mkuu wa Majeshi Jenerali Venance Mabeyo Septemba 11,2018.
No comments:
Post a Comment