KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

October 28, 2014

MHE. PINDA AZUNGUMZA NA WAWEKEZAJI WA POLAND

unnamed3 
Waziri Mkuu Mizengo Pinda (kulia), akibadilisha mawazo na viongozi wa kampuni ya Katanja-Neoval Oil, baada ya kusikiliza mada yao. Wa pili kulia ni Rais wa Kampuni hiyo, Bw. KRZYSZTOF SWIACKI.
  unnamed1 
Waziri Mkuu Mizengo Pinda (wa kwanza kulia), akimsikiliza Mkurugenzi wa kampuni ya Katanja-Neoval Oil, Bw. NICODEMO SWIACKI (kushoto), akiwasilisha mada kuhusu kampuni yao ambayo inataka kuwekeza Tanzania, kwenye kiwanda cha kusafisha dhahabu na ujenzi wa hoteli ya kimataifa huko Zanzibar. Wa pili kulia ni Naibu Waziri wa Mambo ya Nje, Dk. Mahadhi Juma Maalim na Naibu Waziri wa Fedha, Bw. Mwigulu Nchemba.
unnamed
Waziri Mkuu Mizengo Pinda (wa kwanza kulia), akiandika maelezo muhimu wakati akimsikiliza Mkurugenzi wa kampuni ya Katanja-Neoval Oil, Bw. NICODEMO SWIACKI (kushoto).

No comments:

Post a Comment