KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

October 28, 2014

RAIS KIKWETE AWASILI VIETNAM

v5Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, akilakiwa  na mwenyeji wake, Rais Truong Tan Sang wa Vietnam,  wakati wa mapokezi yake rasmi katika Ikulu ya Hanoi, katika siku ya kwanza ya ziara yake rasmi  ya siku mbili nchini humo Jumatatu Oktoba 27, 2014 .
v6
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, akipokea shada la maua, akishuhudiwa na mwenyeji wake, Rais Truong Tan Sang wa Vietnam. 
  v9
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, na mwenyeji wake Rais Truong Tan Sang, wakikagua gwaride la heshima, lililoandaliwa kwa ajili yake wakati wa mapokezi yake. 
  v25
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, akisalimiana na vijana, baada ya kutembelea kampuni ya mawasiliano ya VIETTEL.
  v28 
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, akiwa katika mazungumzo na Katibu Mkuu wa Chama Cha Kikomunisti cha Vietnam, Ndg. Nguyen Phu Trong, katika Makao Makuu ya Kamati Kuu ya Chama hicho tawala cha nchi hiyo.

No comments:

Post a Comment