KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

November 29, 2014

PICHA ZA TUKIO LA KUANGUKA KWA NDEGE NDOGO(CHOPA) ENEO LA UKONGA JIJINI DAR ES SALAAM

Vikosi vya ulinzi na uokoaji vilikuwepo eneo la tukio katika ajali ya ndege ndogo iliyoanguka maeneo ya karibu na barabara ya Moshi Bar, Ukonga Jijini Dar es Salaam leo asubuhi, watu watatu waliokuwamo kwenye ndege hiyo inasemekana wameaga dunia
Mabaki ya ndege hiyo iliyoanguka
Ulinzi ukiwa umeimarishwa
Mabaki
Sehemu ya mabaki ya ndege hiyo.                                                           
Sehemu ya mabaki                                                                                                        
                                              

No comments:

Post a Comment