KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org

TEMBELEA: www.utt-pid.org

January 30, 2015

AU KUAZISHA KIKOSI DHIDI YA BOKO HARAM

Mwenyekiti wa Tume ya Umoja wa Afrika Nkosazana Dlamini-Zuma ametangaza mjini Addis Ababa, Ethiopia kuundwa kwa kikosi cha kimataifa kwa kuanzisha vita dhidi ya Boko Haram.
Mwenyekiti wa Tume ya Umoja wa Afrika Nkosazana Dlamini-Zuma ametangaza mjini Addis Ababa, Ethiopia kuundwa kwa kikosi cha kimataifa kwa kuanzisha vita dhidi ya Boko Haram.

Uamuzi wa pamoja umechukuliwa na Umoja wa Afrika wakati wa kikao chake cha Baraza la amani na usalama Alhamisi Januari 29 jioni mjini Addis Ababa, Ethiopia na kuhudhuriwa na zaidi ya marais kumi na tano.
Rais wa Nigeria Goodluck Jonathan na rais wa Cameroon Paul Biya hawakushiriki kikao hicho. Umoja wa Afrika unaunga mkono kikosi cha kimataifa cha wanajeshi 7500

No comments:

Post a Comment