KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

January 31, 2015

PICHA ZA MATUKIO YA BUNGENI

 2
MwanasheriaMkuu wa Serikali George Masaju akizungumza Bugeni Mjini Dodoma.
3
Waziri wa Mambo ya Ndani,Mathias Chikawe akiwasilisha taarifa ya serikali Bungeni Mjini Dodoma.
4
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akijibu Maswali Bungeni Mjini Dodoma.
5
Waziri mkuu, Mizengo Pinda  akizungumza na Maofisa wa Juu wa Benki ya NMB kwenye makazi yake mjini Dodoma . Kutoka kushoto ni Tom, Borghols, Richard Makungwa na Joseline Kamuhanda.
1
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Morogoro, Jacob Mameo kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma.

No comments:

Post a Comment