KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

January 26, 2015

BARAZA LA MAWAZIRI LAZUA HISIA

26 Januari 2015 Imebadilishwa mwisho saa 16:01 GMT
Siku mbili baada ya rais wa Tanzania Jakaya Kikwete kufanya mabadiliko kwenye baraza la mawaziri,kumekuwepo hisia tofauti kufuatia mabadiliko hayo ambapo hii ni mara ya saba kwa Rais huyo kupangua baraza la mawaziri katika kipindi cha miaka kumi aliyokaa madarakani.Kutoka Dar es Salaam,mwandishi wetu Tulanana Bohela ametuandalia taarifa ifuatayo.

No comments:

Post a Comment