Ujumbe
wa Mkurugenzi Mkuu wa NHC ukitembelea nyumba za gharama nafuu
zilizojengwa eneo la Bombambili, Geita kwa ajili ya kuuzia wananchi.
Sehemu ya nyumba za gharama nafuu zilizojengwa na NHC eneo la Bombambili Mkoani Geita
Mkurugenzi
Mkuu wa NHC Bw. Nehemia Mchechu akitoa ufafanuzi kwa jopo la wasimamizi
wa miradi ya Shirika na watendaji wengine ya namna wanavyoweza
kupunguza gharama za ujenzi wa nyumba ili wananchi wengi wa kipato cha
kati na chini waweze kumudu kuzinunua.
No comments:
Post a Comment