Kaimu Mkurugenzi Mwendeshaji wa Bodi ya Utalii (TTB) Bi.
Devota Mdachi akiongea katika hafla maalum ya kutangaza vivutio vya
utalii kwa soko la Marekani katika Hoteli ya Four Seasons jijini Las
Vegas.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii Dk. Adelhelm
Meru (kulia) akiwa pamoja na Waziri Kivuli wa Maliasili na Utalii na
Mbunge wa Iringa Mjini Mchungaji Peter Msigwa katika hafla maalum ya
kutangaza vivutio vya utalii nchini kwa soko la Marekani.
Ujumbe wa Tanzania unaoshiriki ziara maalum ya kutangaza vivutio vya utalii kwa soko la Marekani.
Kaimu Mkurugenzi Mwendeshaji wa Bodi ya Utalii (TTB) Bi.
Devota Mdachi akiwasilisha mada inayohusu vivutio vya utalii nchini
katika hafla maalum ya kutangaza vivutio vya utalii kwa soko la Marekani
katika Hoteli ya Four Seasons jijini Las Vegas.






No comments:
Post a Comment