BREAKING NEWS: BONDIA FRANCIS CHEKA AFUNGWA JELA MIAKA MITATU NA ATAKIWA KULIPA FAINI YA SH.MILIONI MOJA
Francis Cheka. Hukumu hiyo inatokana na kosa la kumpiga Meneja wa Baa yake iliyoko mjini Morogoro, Mawakili wake wamesema wataka rufaa kupinga hukumu hiyo.Hukumu hiyo imetolewa na Mahakama ya mijini Morogoro
No comments:
Post a Comment