KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

February 2, 2015

MSHINDI WA PROMOSHENI YA WEKA UPEWE YA NBC AONDOKA NA BAJAJI JIJINI MWANZA

Displaying 01.JPG
Mshindi wa pikipiki aina ya Bajaj kupitia promosheni  ya 'Weka Upewe' ya Benki ya Taifa ya Biashara (NBC), Judith Gwimile (wa nne kushoto), akikabidhiwa kadi ya Bajaj na kibao cha namba na Meneja wa Tawi la benki ya NBC Mwanza, Godhard Hunja, jijini humo. Wengine ni baadhi ya wafanyakazi wa benki hiyo tawini hapo.
Displaying 02.JPG
Mshindi wa pikipiki aina ya Bajaj kupitia promosheni  ya 'Weka Upewe' ya  Benki ya Taifa ya Biashara (NBC), Judith Gwimile akiwa ndani ya bajaji hiyo mara baada ya kukabidhiwa na Meneja wa Tawi la benki ya NBC Mwanza, Godhard Hunja (katikati),  jijini humo. Kushoto ni Meneja Uendeshaji wa benki  hiyo tawi la Mwanza, Margareth Touwa.
Displaying 03.JPG
Mshindi wa pikipiki aina ya Bajaj kupitia promosheni  ya 'Weka Upewe' ya  Benki ya Taifa ya Biashara (NBC), Judith Gwimile (katikati), akibadilishana  mawazo na Meneja wa Tawi la benki ya NBC Mwanza, Godhard Hunja (kulia)huku wafanyakazi wengine wa benki hiyo wakimsikiliza katka hafla hiyo.                                                                                                                   

No comments:

Post a Comment