Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed
Gharib Bilal, akiwahutubia Wananchi na Wanachama wa CCM Mkoa wa Dar es
salaam kwenye maadhimisho ya miaka 38 ya CCM yajiyoadhimishwa jana
Februar 01,2015 kwenye uwanja wa Tawi la CCM kwa Mwinjuma Kinondoni Dar
es salaam.
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed
Gharib Bilal, akipokea CD yenye mashairi maalum ya kukipongeza chama
cha Mapinduzi CCM kwa kutimiza miaka 38 tangu kuanzishwa kwake kutoka
kwa msanii Ahmad Amour Nyangany, kwenye maadhimisho ya miaka 38 ya CCM
yajiyofanyika jana Februar 01,2015 kwenye uwanja wa Tawi la CCM kwa
Mwinjuma Kinondoni Dar es salaam.
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed
Gharib Bilal, akisalimiana na Wananchi na Wanachama wa CCM Mkoa wa Dar
es salaam alipowasili Viwanja vya Tawi la CCM kwa Mwinjuma Kinondoni Dar
es salaam jana Februar 02,2015 kwa ajili ya kuhudhuria Maadhimisho ya
Miaka 38 ya CCM.





No comments:
Post a Comment