Waziri wa Habari, Vijana,
Utamaduni na Michezo Dr. Fenella Mukangara akizungumza na Wanahabari
(hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa Ushirikiano baina ya ESAMI NA
Wizara ya, Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo katika sekta ya
Maendeleo ya Vijana.Hafla hiyo imefanyika jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Habari, Vijana,
Utamaduni na Michezo Dr. Fenella Mukanagara akifurahia jambo (katikati)
akifurahia jambo mara baada ya uzinduzi wa mpango wa ushirikiano baina
ya ESAMI NA Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo katikasekta
ya Maendeleo ya Vijana na kuwajengea uwezo watumishi wa Wizara hiyo.
Mkurugenzi wa Idara ya Habari Bw. Assah Mwambene akizungumza na Wanahabari kuhusu tatizo la ajira kwa vijana nchini.





No comments:
Post a Comment