KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

February 11, 2015

MKAZI WA MWANZA ASHINDA BAJAJ YA SERENGETI



2
Meneja wa Bia chapa Serengeti Premium Lager, Rugambo Rodney, (katikati) akiongea kwa njia ya simu na mshindi wa sita wa Limo Bajaji, Ramadhani Abubakar, katika shindano la “Tutoke na Serengeti” lililofanyika jana makao makuu ya kampuni hiyo jijini Dar es Salaam. Kulia ni msimamizi toka bodi ya michezo ya kubahatisha, Bw. Baraka Majid na kushoto ni msimamizi toka PriceWater Cooper, Golder Kamuzora. Akiongea na vyombo ya habari leo katika makao makuu ya SBL yaliyoko Chang’ombe Dar es salaam, Meneja chapa wa Serengeti Premium Lager Mr. Rugambo Rodney alisema “ Mshindi wetu wa sita wa  Limo Bajaj nae anatoka nje ya Dar es salaam kuashiria kwamba kampeni hii imepokelewa vizuri mikoani  kinyume na ilivyozoeleka na watu wengi kwamba  kampeni za namna hii ni za wakazi wa Dar tu. Rodney aliongeza kuwa kwa sasa imebaki nafasi moja ambayo ni ya Mtoko wa mbugani huku akiwahimiza wateja kutumia mwezi huu wa wapendanao kuwa “Surprise” na kutoa zawadi ya “Mtoko wa mbugani kwa wenza wao ndani ya hifadhi ya taifa ya Serengeti.

No comments:

Post a Comment