Waziri
wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
(Tamisemi), Hawa Ghasia akitoa hutuba yake wakati wa uzinduzi wa bodi
mpya ua wadhamini ya Mfuko wa Pensheni wa LAPF Dar es Salaam jana.
| Mwenyekiti wa Bodi ya Udhamini wa Mfuko wa Pensheni wa LAPF Profesa, Hasa Mlawa, akizungumza katika hafla hiyo. |
Waziri wa Kazi na Ajira Gaudentia Kabaka akichangia jambo kwenye uzinduzi huo.
Mgeni rasmi wa uzinduzi huo Waziri Hawa Ghasia (katikati mbele waliokaa), akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa bodi ya zamani ya LAPF iliyomaliza muda wake. Kushoto kwa waziri Ghasia ni Waziri wa Kazi na Ajira, Gaudentia Kabaka ambaye wizara yake inasimamia mifuko hiyo ya kijamii

Mgeni
rasmi wa uzinduzi huo Waziri Hawa Ghasia (katikati mbele waliokaa),
akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wapya wa bodi ya LAPF.

No comments:
Post a Comment