![]() |
| Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (kushoto) akizungumza na Mwakilishi Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa nchini, Alvaro Rodriguez kuhusu masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya Wizara yake na ofisi ya Umoja wa Mataifa (UN) Tanzania. Rodriguez alimtembelea Waziri Chikawe ofisini kwake jijini Dar es Salaam jana. Picha zote na Felix Mwagara, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi. |




No comments:
Post a Comment