| Haruna Niyonzima wa Yanga akikimbilia mpira na Mtama Bakari wa Coastal Union. |
| Amis Tambwe wa Yanga akiwa na mpira akiwatoka wachezaji wa Coastal Union. |
| Mtama Bakari wa Coastal Union akimkwatua Haruna Niyonzima wa Yanga. |
| Kpah Sherman wa Yanga, akipambana na Mtama Bakari wa Coastal Union kuwania mpira wakatiwa mchezo huo. |
| Kpah Sherman wa Yanga, akiudhibiti mpira huku akifuatwa na Mtama Bakari wa Coastal Union. |


No comments:
Post a Comment