![]() |
Spika wa Bunge Anne Makinda akimpa
pole mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda (kulia) ambaye alifiwa na
baba yake Mzazi, Mzee Abdallah Rehani , Nyumbani kwa marehemu,Tabata
jijini Dar es salaam Aprili 4, 2015 . Wengine pichani ni ndugu wa karibu
wa Mama Pinda.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
|
![]() |
| Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Katibu Mkuu wa CUF na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar,Seif Sharif Hamad (katikati) na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Iddi katika mazishi ya Baba mkwe wake yaliyofanyika kwenye makaburi ya Segerea Jijini Dar es salaam Aprili 4, 2015 |
![]() |
| Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akishiriki katika mazishi ya Baba Mkwe wake , Marehemu Abdallah Rehani kwenye makaburi ya Segerea jijini Dar es salaam Aprili 4, 2015. |
![]() |
| Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Seif Sharif Hamad akishiriki katika mazishi ya Baba mzazi wa Mke wa Waziri Mkuu, Marehemu Abdallah Rehani kwenye makaburi ya Segerea jijini Dar es salaam Aprili 4, 2015. |
![]() |
| Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Iddi akishiriki katika mazishi ya Baba mzazi wa Mke wa Waziri Mkuu, Marehemu Abdallah Rehani kwenye makaburi ya Segerea jijini Dar es salaam Aprili 4, 2015. |
![]() |
| Katibu Mkuu wa CHADEMA, Dr. Wilbroad Slaa akishiriki katika mazishi ya baba mzazi wa Mke wa Waziri Mkuu, Marehemu Abdallah Rehani yaliyofanyika kwenye makaburi ya Segerea jijini Dar es salaam Aorili 4 |
![]() |
| Baadhi ya Viongozi wa Vyama vya Siasa na Serikali walioshirikikatika mazishi ya Baba Mzazi wa Mke wa Waziri Mkuu, Marehemu Abdallah Rehani yaliyofanyika kwenye makaburi ya Segerea jijini Dar es salaam Aprili 4, 2015 |
![]() |
| Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Makamu wa Kwanza wa rais wa Zanziba Seif Sharif Hamad wakitoka kwenye eneo la makaburi ya Segerea jijini Dar es slaam baada ya mazishi ya baba mzazi wa Mke wa Waziri Mkuu, Marehemu Abdallah Rehani Aprili 4, 2015. Kushoto ni Waziri Mkuu, Mstaafu, Frederick Sumaye na na mwenye koti jeusi katikati ni Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Iddi. |










No comments:
Post a Comment