![]() |
| Meneja wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) Mkoa wa Dar es Salaam Kusini, Adolf Matondo (kulia) akizungumza kabla ya kukabidhi sehemu ya msaada kwa watoto wa kituo cha watoto yatima kilichopo Mbagala, Chamazi jijini maarufu kwa jina la ‘Yatima Group Trust Fund’. Kushoto ni MKuu wa Kituo hicho, Wilfrida Lubanza. |
![]() |
| Picha ya pamoja na watoto wa kituo cha watoto yatima kilichopo Mbagala, Chamazi baada ya Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) kukakabidhi sehemu ya msaada kwa watoto hao jana jijini Dar es Salaam. |




No comments:
Post a Comment