![]() |
| Kamanda wa jeshi la zimamoto mkoa wa iringa akikabidhi mbuzi kwa kaimu mkuu wa kituo cha Sister Theresa, Sister Sister Winfrida Mhongole katika makabidhiano yaliyofanyika kituoni hapo. |
![]() |
| Kamanda wa Zimamoto akiwa na mmoja wa watoto wanaolelewa na kituo hicho cha sister Theresa. |
![]() |
| Mmoja wa Askari wa jeshi la Zimamoto Eshter Aidan akiwa na watoto wanaolelewa katika kituo cha sister Theresa. |





No comments:
Post a Comment