KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org

TEMBELEA: www.utt-pid.org

May 24, 2015

MATUKIO YA KIKAO CHA HALMASHAURI KUU YA CCM MJINI DODOMA

Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akishauriana jambo na Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana kabla ya kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM kuanza leo, mjini Dodoma.
13
 Wajumbe wakiwa kwenye kikao hicho. Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa CCM Mwigulu Nchemba na Spika wa Bunge Anna Makinda.
Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akiwa na viongozi wa ngazi ya juu wa Chama baada ya kuwasili ukumbini. Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa CCM, Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohammed Shein na kulia ni Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Philip Mangula na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana.

Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akiongoza kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM, mjini Dodoma leo, May 24, 2015. Kuahoto ni Makamu Mwenyekiti wa CCM, Bara, Philip Mangula Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana.
Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akiendelea kuongoza kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM, mjini Dodoma leo, May 24, 2015.             

No comments:

Post a Comment